Pages

Tuesday, April 2, 2013

MAISHA YA WATANZANIA ZAIDI YA 34 YAMEPOTEA KATIKA JENGO HILI

Maisha ya Watanzania wapatao 34 yamepotelea hapa. Zilipaswa kuwa Ghorofa 10 lakini zilishafikia 16 nani alaumiwe... MJENZI, MWENYE JENGO, NHC, MTOA KIBALI CHA UJENZI, MKAGUZI WA MAJENGO??? Bado ni swali ... Lakini litapata ufumbuzi naamini hakuna lisilowezekana chini ya Jua hili...

No comments:

Post a Comment