Pages

Monday, April 29, 2013

DOGO HUYU NI TISHIO LA DOGO ASLAY NA DOGO JANJA ANZA KUMFATILIA UJUE

 Kwa jina anajulikana kama DOGO NGWANGI mkali wa kuimba kila haina ya muziki unaokubalika
Anatokea kwenye REC LEBO ya FIRE MUSIC
Amepiga ngoma yake moja kali sana inaitwa BWII ameimba yeye kama yeye hajamshirikisha mtu.
Chini ya producer MORE FIRE
Jumamosi iliyopita alisikika kwa mara ya kwanza katika kipindi cha bongo fleva cha CLOUDS FM
kinachoendeshwa na ADAM MCHOMVU kila aliesikia kipindi iko alisikika kwa kusema huyu ndio kiboko na DOGO ASLAY NA DOGO JANJA.
Kama unavyomuona muonekano wake katika picha ndivyo alivyo,Mdogo wa umri lakini mkubwa wa mistari

Kaa tayari kusikia mengi kutoka kwake soon.ameshaachia ngoma yake ya BWII  iko mtaani tayari kuachia kesho tutaipata kwenye mitandao mbali mbali.HYPER HK INAMKARIBISHA DOGO NGWANGI KWENYE GAME.

No comments:

Post a Comment