Pages

Wednesday, April 3, 2013

BALOTELLI ASEMA HANA KIPINGAMIZI NA MTOTO ATAKAE MZAA DEMU WAKE WA ZAMANI RAFAELLA FICO



Staa wa soka Mario Balotelli anamiliki headlines kwenye Internet sasa hivi baada ya moyo wake kuanguka kimapenzi kwa binti mrembo wa Belgium anayeitwa Fanny Neguesha ambaye amemtaja kama Mwanamke wa kwanza anayejisikia huru kuwa naye, huu ukiwa ni mwezi wa sita toka wameanza kuwa pamoja...
Pamoja na hilo, Balotelli kasema bado anasubiri vipimo vya DNA ili kufahamu kama ni baba wa mtoto wa kike wa mpenzi wake wa zamani Tv Star/model Rafaella Fico, akisisitiza kwamba hana mpango wa kukimbia huyo mtoto, atapenda pia kukutana na kuzungumza na Rafaella...
Kila la kheri

No comments:

Post a Comment