hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, April 19, 2013

ANGALIA : MUZIKI GANI BY NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ WATU WALIVYONYUKAAAAA!!!!


Napenda kumshukuru Mungu kwa siku ya jana..... tarehe 16 mwezi wa 4...mapema asubuhiya jana...Tukifanikisha kile watu wengi walichokuwa wakikisubiria kwa hamu.....Tulikuwa location jana na brother wangu kabisa,The True Boy Nay wa Mitegowakati tukishoot video ya New Hit Song yake akiwa amenishirikisha humo ndani..!Namshukuru Mungu kwa uwezo wake kufaikisha mipango yote ya location kwendasaawia kabisa na kufanya wepesi kwa kila jambo.....pia bebez kali zote za town walishowlove kufika na ballerz walionesha ushirikiano....!!
Napenda Pia kuushukuru Uongozi mzima wa New Africa Hotel.....kwa location yacasino.....pia na uongozi mzima na wafanyakazi wa New Africa hotel upandewa Casino....!!video ilianzia hapa new africa hotel na kumalizikia Sinza uwanja wa kinesikwa upande wa Mkong'oto Jazz Band walipoonesha umahiri wao kuchoraGraphics..... Production ikiwa imesimamiwa na The Bigdaddy Adam Jumachini ya NEXT LEVEL
Zifuatazo ni Picha Mbalimbali za Location ya video shooting ya Muziki Gani...

LOCATION ILIANZIA HAPA....

Matayarisho yakianza....!!
Lights On.....Camera On Set....!!
Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....?
Usafii kama kawaida yangu.....!!
DJ Ommy Crayz the only handsome dj in town akiwa na msanii nguli kutoka
South Africa Qboy Mnyama....!!
Dada yangu kipenzi Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi
kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!!

Diamond Platnumz with Flowers....!
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President
Himself Diamond...!!





Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...!
President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...!

The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!!
Ilikuwa Location upande wa Casino.....






Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza
shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!!

WASAAAFIIIIII......!!
Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!!

MKONG'OTO JAZZ BAND....!!



Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band
na kuchora michoro tofauti ....!!






on set...location #2 sinza.......
DJ OMMY CRAYZZ...!




Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata....

No comments:

Post a Comment