hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, April 30, 2013

ALICHOKISEMA ROMA BAADA YA WIMBO WAKE WA 2030 KUTOINGIA KWENYE TUZO ZA MUZIKI TZ


Rapper Roma Mkatoliki ni mshindi wa tuzo za KTMA 2012 lakini mwaka huu 2013 hajapata nafasi yoyote ya kuwa nominated kwenye list, ni miongoni mwa mastaa wa hiphop ambao hawako kwenye list kabisa mwaka huu ambapo moja ya vigezo vya msanii kushiriki kwenye tuzo za ni lazima wimbo wake uwe umefanya vizuri kwa mwaka uliopita. 

No comments:

Post a Comment