Pages

Saturday, March 16, 2013

YANGA YAZIDI KUKAA KILELENI SASA YAFIKISHA POINTS 48

 

Ni wazi kuwa sasa Yanga hawakamatiki baada ya kuzidi kujikita kileleni kwa ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Bao pekee la Yanga katika mchezo huo lilitiwa kimiani katika dakika ya 48 na Hamis Kiiza baada ya kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Frank Domayo kumkuta. Kwa matokeo hayo Yanga inafikisha pointi 48 huku ikifuatiwa na Azam wenye point 37 wakati watani wao wa jadi Simba wakiwa nafasi ya tatu na pointi 34

No comments:

Post a Comment