hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, March 19, 2013

YALIOJILI KWENYE BIRTHDAY YA MISS DAR CITYCENTER MAGDALENA ROY

 Martine kadinda akimshikiria zou kamili gado magie amnyweshe keki mana alianza kula keki kabla yakulishwa

 keki hiyo tamuuuuuuuu

 mzungu shemeji alikuwepo

 Picha kwa ajili ya bbm zilihusika

 Mishumaa hii ya kiubunifu ilizimwa kwa ubunifu

 keki ilikatwa

 lizzy alilishwa

 Magie akimlisha winnie

 MAGIE anamlisha STELA

 Ney and magie

 Dj choka alikuwepo nae

Taaaaaamuuuuueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

chidy benz a.k.a chuma alikuwepo 

Mishkaki ilihusika poa sana na ndizi siku hiyoo                                       

  

No comments:

Post a Comment