Pages

Thursday, March 14, 2013

HYPERHK MODEL OF THE WEEK - LADYNAA A.K.A MUTOTO MULITO

 Kwa jina halisi anaitwa NASRA RAJESH a.k.a LADYNAAA MUTOTO MULITO kiboko yao.Amesoma uganda, primary school,shule inaitwa kiburi demonstrarion schoool,  secondary Amesoma NABISUNSA GALS Form 4 hadi six baada ya hapo amekwenda kupiga kitabu katika chuo alichosoma baba wa taifa mwalimu nyerere  MAKERERE UNIVERSITY. Akafanya course ya enviromental

 Alipomaliza akala pipa mpaka UINGEREZA kwa wazazi wake 2008 mpaka 2009 akarudi nchini tanzania, Akala ajila katika bank ya NBC kwa sasa anamiliki kampuny yake mwenyewe binafsi ya MASA CERA GEM inahusu mazoezi tiba. amegraduate mwaka 2008

 Anawakubali sana RADIO na WIZO wa uganda

 Kwa hapa tanzania anamkubali sana DIAMOND PLATNUM na TIMBULO

 Uwa anapenda kutoka sana na akitoka uwa anakwenda SAMAKI SAMAKI YA MBEZI BEACH,COCO BEACH NA mwisho kabisa anamalizia starehe yakeNEW MAISHA CLUB.

 Apendi marafiki masitch na unafiki nachukia sana,anapenda sana kutumia gari aina ya VEROSA

 Nje ya tanzania anamkubali sana REHANA na couple anayoipenda sana na kumvutia ni ya couple ya CRISS BROWN na RIHANNA.

 Anapenda sana NDIZI NYAMA ichanganywe na maharage pia anapenda sana shisha ila hayuko ADDICTADE nayo.

 Na hii ndio HOSPITAL yake anayoimiliki kama mkurugenzi iko tabata na inatibu magonjwa yote sugu.

Huyu hapa ladynaa a.k.a mutoto mulito nilimuuliza kwanini unajiita kiboko yako akanambia wote wenye kusintch wenzao Mie ndio kiboko yao wakijaribu kuniletea zakuleta nawachana live, nikamuliza umeshawahi kumchana nani nani na wapi? ni wengi sana ikiwemo wasaniii wote ambao hawakuhuzuria msiba wa marehemu sharo na kujifanya wameumia kuzika hawakwenda nimewachana mbaya sanalive tena kwenye tv.

No comments:

Post a Comment