Pages

Wednesday, March 6, 2013

HYPERHK MODEL OF THE WEEK - EMMY STANLEY

 Kwa jina anaitwa emmy stanley elimu yake ya msingi ameipata mwanza shule inaitwa kilimani primary school na secondary amesoma kahama sec school, na mpaka sasa bado anasoma chuo hapa dar es salaam.Ni single gal hana mtoto wala hajaolewa.

 Anapenda sana kuangalia moviez,na kwenda live band na marafiki zake,wasanii anaowapenda tanzania ni BANANA ZORO,LADY JAYDEE,BARNBAS,ALI KIBA,na nje ya tanzania anamkubali sana, RIHANNA,BEYONCE,CHRIS BROWN,anapenda sana kuangalia STAR TV na EATV.

 Bado hajajiingiza kufanya mambo ya modeling katika sehemu husika lakini  anapenda siku moja kuingia huko.pia alizitaja band anazopenda kwenda kutembelea ni pamoja na B BAND,AKUDO IMPACT,MACHOZI BAND,

 Katika vitu ambavyo hapendi ni mambo ya umbeya anachukia sana umbea na anapenda kwenda na wakati na kuipenda familia yake.

Pia ni mjasilimali anaejitegemea ana biashara zake binafsi za mahitaji mbali mbali ya wanawake kama nguo,hereni,viatu,mapochi ya kisasa,n.k.

pia ni mtu ambae unaweza kumpata facebook,bbm,tweeter, whts up .nk.

No comments:

Post a Comment