FILAMU YA MWISHO YA MAREHEMU KANUMBA AKIWA NA SHARO MILIONEA LOVE & POWER IPO TAYARI!.
Marehemu Kanumba filamu yake ya mwisho kuigiza ya
Love & Power
FILAMU ya Love & Power ambayo
ndio kazi yake ya mwisho kuigizwa na msanii wa filamu nguli Bongo marehemu
Steven kanumba inatarajiwa kuingia sokoni baada ya msambazaji wa filamu hiyo
kuikamilisha na kusema kuwa filamu hiyo itanarajiwa kuingia sokoni mwezi wan ne,
filamu ya Love & Power ni kazi ya kipekee kuigizwa na msanii huyo kabla ya
umauti kumfika ni filamu aliyorekodi siku za mwisho kabisa.
.
Marehemu Kanumba akiwa katika pozi.
Filamu ya Love & Power ya marehemu
Kanumba.
Marehemu Kanumba akiwa katika pozi akivuta
Siga.
Filamu hiyo pia ina historia ya
kipekee kwani moja kati ya filamu iliyobeba wahusika wakubwa ambao ni marafiki
wa marehemu Kanumba huku Daktari wa familia ya marehemu naye akiwa ameshiriki
vema katika filamu hiyo.
Pengine ni filamu inayoweza kuibua hisia za watu wengi kufuatia
filamu hiyo kuigizwa na wasanii watatu ambao kwa sasa ni marehemu, wasanii hao
ni pamoja marehemu John Stephano, Hussein Mkiety ‘Sharomilionea’, lakini pia
kuna msanii mwinge Irene Paul ambaye aliigiza kama mhusika mkuu, marehemu
Kanumba alifariki mwaka jana mwezi wanne.
Msanii huyo anakumbukwa na wapenzi wa
filamu kwa umahiri wake wa kuigiza na kuwa ni msanii pekee aliyeweza kuitangaza
Tanzania kwa njia ya filamu na kuwa mmoja kati ya watu mashuhuri, filamu ya Love
& power itasambazwa na Steps Entertainment ya jijini
No comments:
Post a Comment