hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, March 6, 2013

DRAKE AFANYA KUFURU KWA WACHEZA UCHI ATEKETEZA DOLA ELFU 50 KWAKUWATUNZA


Drake akichop money kwa ma bebeyyss

floor imechafuka dolaa!! UNA HELA WEWE!!

Akizidi kumwaga notii huku mabebs wakiendelea kukata mauno LOL!!

hapa namuona anaendelea kufungua mabunda mengine ya midolalii, MAMA wa madolali HUPO??

Mvua ya dolali ikimwagika..

No comments:

Post a Comment