hk CONTACTS
Friday, March 15, 2013
ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSU KUMNUNULIA GARI PENNY AMBAE NI MAMA WATOTO WAKE MTARAJIWA
Kupitia segment ya U Heard ya XXL Clouds FM na Soudy Brown, mwimbaji Diamond Platnums ambae aliongoza kwa kuwa msanii wa bongo alieandikwa sana kwenye internet mwaka 2012 amethibitisha kumnunulia mkoko mama watoto wake mtarajiwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
imetulia sana MSAFI kwani hakuna kitu cha msingi hapa duniani na cha raha kama kuwa na umpendae na kupata nae mtoto atakae leta faraja mungu akupe wepesi kwa ilo
ReplyDelete