XTREME DEEJAYZ KUWASHA MOTO ALHAMIS HII NEW MAISHA CLUB DODOMA
Dvj Majey kushoto na hyperman hk
Alhamiss hii ndani ya new maisha club mtwara xtreme deejayz dvj majey na hyperman hk watafanya yao katika ukumbi huo.na zawadi kibao zitatolewa kutoka kilimanjaro premium lager, nahuku mwanadada dayna akipiga show kali ya siku ya wapendanao
No comments:
Post a Comment