hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, February 5, 2013

KITALE AVUTA JIKO HUKU AKIUDHUNIKA KUKOSEKANA SHARO KWA HARUSI YAKE

 Yule swahiba yake mkubwa marehemu sharo milionea kitale amevuta jiko hivi karibuni na kuondokana na ukapela, akiongea na hyperman  hk alisema kiukweli amemmiss sana ndugu yake marehemu sharo kwa mana angekuwepo yeye ndie angekuwa msimamizi wa harusi yake lakini ndio hivyo tena sharo amekisha tutoka hatupo nae tena. Kitale yuko honey moon katika hotel moja ya kifahari baada ya harusi yake kwa muda wa wiki kazaa kabla ya kurudi nyumbani kwake na mkewe. hyperhk.blog inamtakia ndoa njema na yenye mafanikio na wapate watoto wenye maadili mema.

Kitale na Mkewe

No comments:

Post a Comment