Pages

Saturday, February 2, 2013

IMEBAKI SIKU MOJA TU KUJUA SNURA HANA MPINZANI

Ni jumapili hii pale NEW MAISHA CLUB kwenye VIUNO SHOW na UZINDUZI WA WIMBO MPYA WA SNURA unaokwenda kwa jina la MAJANGA , Kila saloon unayoingia kila sehemu unayokwenda story ni moja tu hapa mjini hakuna lengine zaidi ya VIUNO SHOW jumapili hii pale NEW MAISHA CLUB,wakali kibao kumsindikiza SNURA  kama  RICH MAVOCO,TUNDA MAN,Y TONY,PASHA,MIRROR,NUH MZIWANDA,SCOPION GALZ,PNC,DOGO JANJA, NA KUBWA ZAIDI SHOW KALI YA SEBENE KUTOKA KWA BONGO MOVIEZ, KIINGILIO BUKU 8 TU.HAYA SASA KWA MFANO UNAKOSAJE?

No comments:

Post a Comment