hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, February 20, 2013

HOSPITAL HII NI KIBOKO INATIBU MAGONJWA YOTE SUGU

 

Hospital mpya yenye mashine za kisasa imefunguliwa tabata hivi karibuni, watanzania tofauti wamemiminiaka kushuhudia ufanisi wa hospital hiyo ya kisasa inayotibu magoinjwa kama , kansa, moyo,kiuno,mgongo,miguu,kichwa,mbavu na kila aina ya magonjwa sugu.alielala hapo pichani ni mama yake na msanii wa muziki wa bongo fleva synage alikuwa anasumbuliwa na kansa lakini kwa sasa tangu aanze kutibiwa katika mashine za hospital hii anaendelea vizuri kabisa na ametoa ushuhuda kupitia www.hyperhk.blogspot.com leo katika hospital hiyo ya masa ceragem tabat cenrter

MASA CERACGEM TABATA CENTER

Hospital iko tabata karibu kabisa na jengo la crdb tabata

Hapo ni maeneo ya ndani ya hospital hiyo

Mkurugenzi wa MASA CERAGEM TABATA CENTER LADYNAA

Msanii wa bongo fleva PASHA ni mmoja kati yawatu waliowahi kushiriki matibabu katika hospital hiyo

Wagonjwa mbalimbali wakipata matibabu katika machine mbalimbali za hospital hiyo

Muhudumu wa hopspital ya masa ceragem ya tabata center akihudumua wagonjwa





Hosital iko vizuri kwakweli mie ni mmoja kati ya watu waliokwenda kushuhudia matibabu mbalimbali eneo hilo kama una mkonjwa yoyote na haujapata ufumbuzi basi mpeleke katika hospital hii utaona mabadiliko mbalimbali kwa mgonjwa wako na kupona kabisa kwa wale ambao wangependa kwenda kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714403442

No comments:

Post a Comment