Pages

Thursday, February 7, 2013

DYNA KUWAVUTA KWAKE WAPENDANAO SIKU YA VALENTINE NEW MAISHA CLUB MTWARA

 Yule mwanadada mwenye mvuto wakuitwa dyna siku ya wapendanao atapiga bonge moja lashow ya bmalavidavi mkoani mtwara kwenye club ya kimataifa NEW MAISHA CLUB MTWARA akiongea na hyperblog meneja wa burudani MAISHA CLUB MTWARA mr ADAM MCHALA amesema kila kitu kipo sawa na kinachosubiliwa ni siku tu kufika ya wapendanao hili watu na watu wao waje kujirusha na kupata burudani za kimahaba siku hiyo huku Mwana dada DYNA awaburudishe.

 Pia aliendelea kusema pia kutakjuwa na burudani tofauti wakiwemo wazee wakumsha hamsah KILI XTREME DEEJAYZ kutoka dae er salaam akiwepo dj mkongwe dvj majay na hyperman hk. usiku huo kama kawaida usiku huo umedhaminiwa na KILIMANJARO PREMIUM LAGER ambapo watamwaga zawadi mbali mbali kama kawaida yao hivyo usiku huo kiingilio kitakuwa buku 5 tu basi kwa kila mtu atakaeingia katika ukumbi huo wa new maisha club mtwara.

 usikose mambo matamu ya dyna siku ya valentine's day mtwara

 Kiuno cha nyoka kiuno laini usikose kujionea mambo siku hiyooooooooooooooooooooooooooo

 Dyna na madanser wake wakifanya yao stegini

 Wakina dada wakiangalia show ya DYNA kwa umakini mkubwa

Dyna akimkabidhi lady jaydee tuzo ya msanii bora wa kike, TUZO KUTOKA KWA GAZETI LA BURUDANI LA BAB KUBWA

No comments:

Post a Comment