Pages

Wednesday, January 30, 2013

SNURA AMWAGA MACHOZI KWA MAJANGA YALIOMKUTA

 Msanii SNURA MUSHI a.k.a SNUR SEX alimwaga machozi kutokana na majanga mbali mbali yaliomkuta mwaka jana na kuamua kundika nyimbo inayoitwa majanga na kuelezea mjanga yote yaliomkuta mwaka jana na mwaka huu. majanga yenyewe haya hapa sikiliza au down load hapa http://www.hulkshare.com/f4p75h1d9kw0

Pia msanii huyu jumapili hii pale new maisha club atazindua wimbo wake wa majanga, amewaomba wapenzi wa snura waje kujiponea VIUNO SHOW na kuisia live wimbo wa majanga pale maishani. atasindikizwa na PNC,DOGO JANJA,TUNDA MAN,MIRROR,Y TONY,RICH MAVOCO,SCOPION GALZ,NUH MZIWANDA,NA wengine kibaooooooooooo kingilio elfu 8 tu.

http://www.hulkshare.com/f4p75h1d9kw0

No comments:

Post a Comment