Pages

Thursday, January 17, 2013

HII NDIO VIDEO YA DIAMOND, NATAKA KULEWA

 

Hii ndio video kamili ya wimbo wa Diamond Platnumz 'Nataka Kulewa', ambayo imetayarishwa na kusimamiwa na kampuni ya I-View Studios chini ya Raqey Mohamed. Itazame kisha toa comments zako kwa jinsi utakavyoipokea.

No comments:

Post a Comment