Pages

Monday, January 28, 2013

ALICHOKIFANYA SNURA DAR LIVE NI MAJANGA AFUNIKA MBAYA

 Msanii mkali  alietokea bongo movie jumamosi iliyopita alifanya balaa kubwa sana katika ukumbi wa dar live wakati wa tamasha la usiku wa masuper star wa filamu,alichokifanya snura hakuna mtu ambae angeweza kuamini kwa mana alipiga show zaidi ya burudani kila ambaye aliekuwepo katika ukumbi huo wa dar live alisema alichokifanya huyu snura siwezi kumfananisha na mwanamuziki yoyote wa kike tanzania ana uwezo wa kipeke na wa binafsi kabisa,Jumapili Hii atakuwa na show NEW MAISHA CLUB kama haukupata nafasi yakuona show ya DAR LIVE,Basi jumspili hii usikose pale NEW MAISHA CLUB kwenye VIUNO SHOW NIGHT atasindikizwa na wakali kibao kama RICH MAVOCO,TUNDA MAN,LINEX,PNC,DOGO JANJA,SUMA MNAZALETI,SCOPION GALS,Y TONY,na wengine kibao.kiingilio 8,000 tu.

 Moto waliongia nao jukwaani ni moja kati ya mafunzo aliyoyapata mombasa alipokuwa ameweka kambi kwa ajili ya show hiyo ya usiku wa masuperstar wafilamu tanzania.
 Radhi zilimwaga kama kawaida

 Wacheza show wa snura wakiwasha moto ndani ya dar live

 Majanga

 ilikuwa hatari sana


 Miuno miuno miuono miuno miuno wewe hapana chezea mama lao

 Mashabiki wa dar live wasusiwa mambo jukwaani na snura


 Milalo ya hatari

 Watu walitunza mpaka condom

 Jumapili hii SNURA yupo ndani ya maisha club kwa ajili ya show yake ya VIUNO SHOW usikose

 Hapana chezea misamba

 Scopion gals waliwasha moto kama kawaida yao

 Weweeee usichezeeee scopion kabisaaaaa

Mpe yote jackkkkkkkk

No comments:

Post a Comment