Pages

Sunday, May 4, 2014

YALIOJILI KWENYE TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUZIKI AWADS


1Kundi la kwanza la washindi wa tuzo KTMA alishinda Diamond na wimbo wa My Number One kwenye category ya wimbo bora wa Afro Pop ambapo tuzo ilipokelewa na producer wake Shedy Cleva.
2Jinsi Ommy Dimpoz alivyotokelezea kwenye red carpet
3Juu na chini ni show ya Mwana F.A alifanya  na wamasai
4
5Washereheshaji wa tukio Mpoki na Shadee kutoka Clouds TV
6Tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili vya Tanzania ilienda  kwa kundi la Dar Bongo massive na wimbo wa Bora Mchawi
7Tuzo ya msanii bora chipukizi anayeibuka ilienda kwa  Young Killer
9Tuzo ya wimbo bora wa zouk kwa 2014 imeenda kwa wimbo wa  Yahaya wa Lady Jay Dee na Man Walter alipokea tuzo
12Shaffih Dauda na mdau wakifuatilia tukio
11Tuzo ya wimbo bora wa reggae imechukuliwa na Niwe na Wewe – Dabo
10Tuzo ya wimbo wimbo bora wa Ragga/Dancehall imeenda kwa Chibwa Ft. Juru

No comments:

Post a Comment