hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, May 6, 2014

Siku ya wafanyakazi duniani hivi ndivyo ilivyofana nchi za wenzetu angalia mapicha kibao hapa..!











HAPA BOSI AKIWA NA SEKRITALI WAKE WAKISHEHEREKEA SIKU HIYO YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Na Mwandishi wa Maskanibongotz kwa msaada wa mtandao.
Wakati dunia nzima huazimisha siku ya wafanyakaz lakini kumekuwa na utofauti mkubwa kwa kila nchi ambapo nchini Jamaika wafanyakazi waliazimisha kwa staili ya kipekee kwa kucheza nusu uchi  mitaani kwa nia ya kufurahi tu.SOURCE: MASKANIBONGOTZ.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment