Pages

Sunday, May 4, 2014

INASEMEKANA ALI KIBA AMEFANYA NGOMA KALI NA FALLY IPUPA


Ilifikia wakati wasanii wachanga wanaingia studio kufanya wimbo kwa sauti na miondoka ya Ali Kiba kama ishara ya kumiss kazi za star huyu wa Bongo Fleva, Kupitia Instagram ya Tunda Man shabiki unafahamishwa kuwa Wimbo mkubwa utakao teka radio na Tv hivi karibuni ni wa Ali kiba ft Fallyipupa.
Ebu angalia post hii ya tunda man

No comments:

Post a Comment