hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, March 28, 2014

Baada ya Taarifa za Chini Chini Kuzagaa, Zidi ya Jackline Wolper Kutowajali Wazazi wake, Haya Ndio majibu Ya Wolper


Mwana Dada Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper ameamua kukanusha madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo: “ Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi nilizonazo za kuwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Alisema wolper

No comments:

Post a Comment