Mai akinyanyuliwa baada ya kupiga mueleka
ahahha!!
Maimartha
alijikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kunusurika kung’oa meno kufuatia viatu
virefu alivyokuwa amevaa kumpiga mwereka ambapo kama siyo Lulu kumshika,
tungekuwa tunazungumzia mambo mengine.
Licha
kunusurika huko, Mai alionekana kutembea kwa shida sana kana kwamba
alilazimishwa kuvaa viatu hivyo ambapo kuna wakati wanaume walimzomea hali
iliyomfanya akose amani.
Tukio hilo la
kuchEkesha lilitokea hivi karibuni kwenye ukumbi wa Meeda wakati band ya Extra
Bongo ikifanya onyesho lao.
POLE DADA
MAI!!
No comments:
Post a Comment