hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, March 1, 2013

KOKOKO YATAKA KUMNG'OA MENO MAIMATHA WA JESSE

Mai akinyanyuliwa baada ya kupiga mueleka ahahha!!

 

Maimartha alijikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kunusurika kung’oa meno kufuatia viatu virefu alivyokuwa amevaa kumpiga mwereka ambapo kama siyo Lulu kumshika, tungekuwa tunazungumzia mambo mengine.

Licha kunusurika huko, Mai alionekana kutembea kwa shida sana kana kwamba alilazimishwa kuvaa viatu hivyo ambapo kuna wakati wanaume walimzomea hali iliyomfanya akose amani.

Tukio hilo la kuchEkesha lilitokea hivi karibuni kwenye ukumbi wa Meeda wakati band ya Extra Bongo ikifanya onyesho lao.


POLE DADA MAI!!

No comments:

Post a Comment