Pages

Wednesday, February 27, 2013

T.I.D,MAGWEAR WAFANYA KORABO 5 TOFAUTI MPAKA SASA

Wasanii wawili wagogwe tanzania khalid mohamed T.I.D na ALBERT MAGWEAR wamekuwa wakishirikiana mara kwa mara katika nyimbo zao na zote uhit na kuwa nyimbo kubwa kutokana na uwezo wao wakuimba kwa wasanii hao.akiongea na x deejayz T.I.D asubuhi Hii baaba yakuona wimbo mpya wa magwear akimshirikisha t.i.d. TOP IN DAR alisema tuna nyimbo nyingi sana ambazo tumeshirikiana na magwear ambazo tumezitoa mpaka sasa hivi kama 5 lakini zipo zingine ambazo bado hazitoka na zote kali alizitaja nyimbo ambazo zimeshatoka ni SHE PERFOMR - GWEAR FT T,ID, KIUNO - T.ID FT GWEAR, A.K.A MIMI MAGWEAR FT T.I.D na huu tuliotoa leo wa magwear wa NO BEEF magwear ft t.i.d. xdeejayz ikataka kujua kwanini kila siku mnashirikiana hamuoni kama watu wanaweza kuzichoka korabo zenu T.I.D akajibu kwa kusema sie ni tam kubwa kama yanga na simba haziwezwi kuchokwa na wapenzi wake na milele zitabaki juu. tunaekewana sana ndio mana milele tupo pamoja.


sikiliza au dowload wimbo mpya wa magwar ft t.i.d unaoitwa beef hapa
http://www.hulkshare.com/3hmy9odp8k74

No comments:

Post a Comment