Shabiki mmoja asiejulikana kwa jina alipanda kwenye stage nakumkaria q chillah huku kufuri yake ikionekana mwana dada huyo alionekana kupagawa sana na mambo ya q chief bila yakujali kama huku mambo yake yapo hadharani.
Q chillah alipanda kwa style yakipeke kabisa jukwaani, alipanda na kitanda cha futi sita kwa sita
ali nipishe akiwapisha watu kwa stage
kasimu mganga akiwaganga mashabiki new maisha club
Beka akifanya yake kwa stage
H baba
Q chillah
Mashabiki wakimshangilia Q CHILLAH baada yakuingia na kitanga kwa stage
No comments:
Post a Comment