hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, February 13, 2013

HYPERMAN HK ATOA NIPE KIDOGO MI HAMU PARTY 2

Yule mkali wa hyping tz hyperman hk ametoa party 2 ya wimbo wa nipe kidogo wimbo ambao mara ya kwanza aliurecord kama intro yakumuingiza msanii wake snura kwenye stage badala yake wimbo uwo ukapendwa sana na watu na kumuomba ahurudie uwe kama wimbo ambao watakuwa wanausikiliza na kuucheza kwenye ma club,na sehemu zengine tofauti.nae bila kuona hiyana ameamua kuwapa radha wapenzi wake na kurudi tena studio kufanya kitu ambacho wamekiomba .ndio hapo sasa ikatoka tena NIPE KIDOGO PARTY 2 sikiliza au download hapa http://www.hulkshare.com/qgut777a4sn4 napokea simu kila siku za watu wakinipongeza kutiokana na wimbo huo unawafanya wahisi nipo hata kama sipo eneo la tukio.haya mashabiki wangu mzingo huo angaikeni nao.

No comments:

Post a Comment